KISEWE MBABE KWA MZAMBARAUNI,YASHINDA 3-0

HATIMAYE ubishi wa nani mbabe kwenye mechi ya kirafiki wa mchezo wa REDE umemalizika Jumapili hii kwa KISEWE QUEENS kuwafunga MZAMBARAUNI mabao 3-0 kwenye uwanja wa Shule ya Secondari Chamazi Jijini Dar es Salaam.

Mchezo ulikuwa wa ushindani kwa pande zote mbili asa kipindi cha kwanza,rakini baada ya mapumziko na kuanza kipindi cha pili team ya Kisewe Queens waliutawala mchezo kwa asilimia kubwa sana mpaka dakika za mwisho wa mchezo uwo na kuweza kupata matokeo aya ya goal 3 kwa 0.

team izi zilishawai kukutana na mchezo wa awali Mzambarauni waliibuka washindi wa goal 3 kwa 0 ivyo leo hii Kisewe wamelipinza kisasi.

wachezaji wa Kisewe Queens wakiwa wamejipanga kabra ya mchezo kuanza. 
wachezaji wa Mzambarauni  Queens wakiwa wamejipanga kabra ya mchezo kuanza.
Ni baadhi ya mashabiki wakishudia mtanange uwo. 
Katibu wa IBUMA Ndg Ibrahim Bofu akiwapongeza wachezaji wa Kisewe Queens kwa kuchezaa vizuri na kwa nidhamu ya hali ya juu. 
Kitu cha tofauti ambacho nimekiona kwenye mchezo huu wa Rede na asa kwenye mechi hii baada ya kumalizika kwa mech wachezaji wa team zote mbili pamoja na mashabiki wa pande zote mbili walijikusanya pamoja na kuanza kusheherekea, iki ni kitu cha tofauti kabisa asa kwenye mchezo wa mpira wa miguu hii iwe mfano wa kuingwa michezo ni amani na furaha. 

Maoni