Kisewe Queens yatembeza kichapo cha goal 3 kwa 0

Leo hii Dec 13 kulikuwa na mchezo wa kirafiki wa rede kati ya Kisewe Queens na Kiponza Queens ulio chezeka katika uwanja wa kisewe na team ya Kisewe Queens kuibuka na ushindi wa goal 3 kwa 0 mchezo ulikuwa na ushindani mkubwa sana kwa pande zote mbili. 

Mchezo huu ulishudiwa na viongozi mbali mbali akiwepo 
Katibu wa IBUMA Bofu na
Katibu UVCCM kata ya chamazi Ndg Juma Bega pamoja na Mwenyekiti wa UVCCM kata ya chamazi Ndg Nasri Mkaripa. 

Mchezaji wa Kisewe Queens anaitwa Tina
Wachezaji wa Kiponza Queens. 

Maoni