MAAJABU

Roboti wa kwanza kupewa uraia mbali na jina Sophia sasa anataka mtoto. Mwezi mmoja baada ya kuweka historia nchini Saudia roboti Sophia anayefanana na binadamu kwa maumbile amesema >Familia ni kitu cha muhimu,anataka mtoto wa kike,anampa jina mwenyewe.

Maoni