MAMBO KUMI MUHIMU KUHUSU UNYONYESHAJI WA WATOTO.

Unyonyeshaji wa watoto ni njia iliyo thabiti kabisa kuhakikishamtoto anakua akiwa mwenye afya njema na hupunguza vifo kwa watoto kwa kiasi kikubwa.
Kama mtoto atanyonyeshwa saa moja baada ya kuzaliwa, na kuendelea kunyonyeshwa kwa miezi sita bila kumpa chakula kingine, hii itampa mtoto kinga thabiti ya mwili dhidi ya magonjwa hatari yanayotishiauhaiwao. Magonjwa haya ni kama Nimonia na kuhara ambayo yanaongoza kwa kusababisha vifo kwa watoto.

Maoni