MIMBA MIEZI 9 WIKI 36-40

Mimba miezi 9 mama anakuwa kesha choka na kuelemewa na uzito ila safari inakaribia kufika ukingoni.Tumbo la mama lishashuka na kichwa cha mtoto kimegeuka chini tayari kutoka.

Mama mjamzito anaweza kujifungua wiki kabla ya 40 kati ya wiki 36-38 hapo haina tatizo  na kuna wengine wanaweza kupitiliza zaikai ya wiki 40.

Ikatokea imepitiliza wiki 40, ila utapewa tena wiki ya 41 ,42-43 inakuwa mwisho utaanzishiwa uchungu kama bado hujajifungua ila hutakiwi kukaa zaidi ya wiki 3 ni hatari kwako na motto mnaweza poteza maisha.

Mabadiliko ya mtoto wiki hii ya 9

1:Uzito wake ni 2.7kg  huu ni uzito wa kima cha nini mtoto kuzaliwa nao( 2.5)

2.Urefu nao unaongezeka kwa sasa ni 48cm

3:Organs za mtoto zimekomaa na kufanya kazi vizuri

Mpaka ukifika wiki ya 40 mabadiko ya urefu na uzito yataongezeka.

Mabadiliko ya mwili ya mama

:Mama anakuwa anakojoa  mara  kwa mara na  kumkera hasa kipindi cha usiku sabbat mtoto kesha shuka mpaka chini na kubana fumo wa mkojo(kibofu)

:Uzito wa mtoto kumwelea mama,kwa wenye watoto wa kubwa ndio inakuwa shida zaidi

:Maji maji yanamtoka mama mara kwa mara nguo Yake ya ndani inakuwa inalowa kila mara.

:Mama kushindwa kupumua vizuri,kupata kizungu zungu sio kwa wote

:Kuvimba mig na uso,maumivu ya mgongo(sio kwa wote)

:Maziwa kuanza kutoka,maziwa kujaa sana

Nini mama unatakiwa ufanye kipindi hiki?

Endelta kula chakula vizuri virutubisho vya kutosha,mboga za majani,matunda,maji ya kunywa ya kutosha,mazoezi nayo ni muhimu sana kipindi hiki cha mwisho yatakusaidia kujifungua kwa urahisi.Epuka mazoezi ya kukimbia ,kuruka kamba,kubeba vyuma au kazi nzito .Unatakiwa kujipa mda wa kupumzika (kulala) .

Zingatia kuandaa hospital bag yako mapema yenye nguo zako na za moto tulisha ona list ya vitu vya kupaki kwa ajili ya kwenda kujifungulia angalia posts za nyuma utaona.

Maoni