MWAKILISHI TOKA CHAMAZI AZIDI KUFANYA VZURI TAHLISO

Divalina


Neema Pius Divalina mjumbe wa mkutano mkuu wa wilaya tokea kata ya chamazi akiwa miongoni mwa washiriki wa semina ya siku mbili ya uongozi iliyo andaliwa na shirikisho la wanafunzi wa vyuo vikuu nchini (Tanzania Higher Learning Institution Students Organization) kwa kifupi TAHLISO.

Leo hii Dec 14 Divalina  alipo kuwa kwenye Workshop alipata zawadi kwa  kuwa mtu wa kwanza kujibu swali ,ambalo swali ilo liliulizwa na Mwenyekiti wa TAHLISO  Ndg Stanslaus S Kadugalize, Mwenyekiti uyo aliuliza swali ilo ili kujua kama vijana walio darasani wanakumbuka walio fundishwa, swali ilo lilihusu  MADAWA YA KULEVYA na Divalina alikuwa wakwanza kujibu na alijipatia zawadi ya sh 10000 toka kwa Mwenyekiti uyo kwa kujibu vizuri na kwa usahihi wake. 

Hongera sana Divalina. 

Maoni