TOFAUTI YA UBORA WA JUISI,MATUNDA MWILINI

Na MWANDISHI WETU,
MATUNDA na juisi asilia, vyote kwa pamoja vina faida lukuki katika mwili wa binadamu, licha ya kwamba kimoja kinakuwa bora kuliko kingine. Hii inategemea zaidi mtumiaji anapenda nini au yuko katika hali gani kiafya.
hata hivyo kuna watu ambao kula matunda kwao ni mtihani, lakini juisi wanakunywa vizuri bila ya tatizo lolote.
Pia kuna baadhi ya watoto ambao wao kwa kawaida ni wavivu wa kutafuna, hivyo ili kuhakikisha kuwa wanapata virutubisho vilivyopo kwenye matunda.

Maoni