UVCCM CHAMAZI WAJIPANGA KUUPOKEA MWAKA MPYA


Kuelekea katika sherehe ya kuukaribisha mwaka mpya 2018 ambayo itafanyika tarehe 1 January 2018, Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Chamazi ndugu Nasri Mkalipa amefanya uteuzi wa kamati TANO zitakazoratibu jambo hilo kwa namna moja ama nyingine.

Kamati alizoziteua na majina ya wana kamati ni kama ifuatavyo.

Kamati ya Maandalizi na usimamizi mkuu.

1.Ally Muhunzi - Mwenyekiti.

2. Ibrahim Bofu - Katibu.

3. Ally Yasin Andarus - Mjumbe.

4. Asha Kusaga - Mjumbe.

5. Khalfan Njogolo - Mjumbe.

Kamati ya Nidhamu na maadili

1. Salma Kweli - Mwenyekiti.

2. Hakim Malimba - Katibu.

3. Vaileth Munuo - Mjumbe.

4. Kabuji (M/kiti  Saku B) - Mjumbe.

5. Rocky - Mjumbe.

Kamati ya Ulinzi na Usalama

1. Shamte Njechele - Mwenyekiti.

2. Peter Asigo - Katibu.

3. Jamal (M/Kiti kwa Mkongo)  - Mjumbe.

4. Juma Simba - Mjumbe.

5. Mohammed Omary Mohammed - Mjumbe.

Kamati ya mapokezi.

1. Jackline Ndauka - Mwenyekiti.

2. Ayoub Nyanza - Katibu.

3. Asha Seif - Mjumbe.

4. Yasir - Mjumbe.

5. Mwanaisha Dihinji - Mjumbe.

Kamati ya habari na hamasa.

1. Shabani Lapwi - Mwenyekiti.

2. Khadija Kopa - Katibu.

3. Shaban Mtegea - Mjumbe.

4. Freddy Ernest Emilian - Mjumbe.

5. Said Ndunge - Mjumbe.

Wakati huo huo Mwenyekiti Mkalipa amewataka walioteuliwa katika kamati hizo wawasiliane Mara moja na Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Chamazi Ndugu Juma Bega Zonzo kwa namba 0654 80 86 34  kwa kupangiwa utaratibu wa kazi.

IMETOLEWA NA
NAJIM NURDIN NYANZA
KATIBU HAMASA NA CHIPUKIZI
KATA YA CHAMAZI.

Maoni