WanaUvccm kata ya chamazi tuunge mkono juhudi za Mwenyekiti wetu.

Ni wazi kuwa mwenyekiti anajitahidi kwa uwezo wake wote kuleta maendeleo kwa wanauvccm chamazi. Tangu aingie madarakani amefanya mambo mengi mazuri ya kujivunia kama Vijana kuwa pamoja, Kujitambua, Kuipenda michezo, Kupiga marufuku wagambo kuwakamata vijana bira makosa,Vijana kujituma kwa nguvu kwenye maendeleo na mengine mengi.

Kwa mwanauvccm chamazi anaweza yaona haya japo kwa wapinga maendeleo hawaoni wao kazi yao ni kutoa dosari na maneno ya kuvunja moyo ili Mwenyekiti haonekane hafai na ana chochote, Naomba wanauvccm kata ya chamazi na wapenda maendeleo kuwapuuza  kwani hawana nia njema na chamazi yetu.

Nawaasa wanauvccm wenzangu wa kata ya chamazi tutumie nguvu na uwezo wetu alio tupa mwenyezi mungu kumuunga mkono Mwenyekiti wetu.

Maoni