HATUBEBI MABEGI NDIO KAULI MBIU YA MKOA WA DSM- MUSA KILAKALA.

January 28,2018.

Mwenyekiti Uvccm Mkoa wa Dar es Salaam Ndg Musa Kilakala leo January 28,2018 amezindua rasmi Kauli mbiu ya Mkoa wa Dar es Salaam, 
alipo kuwa kwenye ukumbi wa Mbande,Chamazi, Dsm.

Nukuu, "Tunatambua kuwa Kata ya Chamazi ndio waasisi wa neno HATUBEBI MABEGI,kwa kuwa kauli mbiu hii inatija kwa wana Dar es Salaam napenda kuchukua nafasi hii kuitangaza rasmi kuwa Hatubebi Mabegi ndio Kauli Mbiu ya mkoa wa Dar es Salaam. " amesema Musa Kilakala

Maoni