IBUMA LIMEWEKA HADHARANI RATIBA YA UVCCM CHAMAZI REDE CUP 2018.

IDARA ya michezo na burudani kata ya chamazi IBUMA yaweka hadharani ratiba ya Uvccm Chamazi Rede Cup msimu wa mwaka 2018 Itakayo kuwa na jumla ya team 12 kwenye makundi mawili tofauti Kundi A na B na team za kundi A kama ifuatavyo

MFENESINI
MWEMBE BAMIA
KIPONZA
MBANDE MAGENGENI
MBANDE RUFU
KISEWE QUEENS na kundi B kama ifuatavyo

MZAMBARAUNI
DOVYA A
DOVYA B
SAKU A
KWA MKONGO
MSUFINI. michuano hiyo inayo tarajia kuanza kutimua vumbi juma moss hii, uku IBUMA likitoa angalizo kwa viongozi wanao simamia team izo kuhakikisha wanaviwanja vilivyo timia vipimo vinavyo hitajika na si vinginevyo.

Akizungumza wakati wa kutangaza ratiba hiyo Katibu mkuu wa IBUMA Ibrahim Bofu amesema Mechi za kufungua pazia la ligi hiyo jumamossi  ambapo inatarajia kuzikutanisha  
Mfenesini Vs Mwembe Bamia uwanja wa Mfenesini

Mbande Rufu Vs Kiponza uwanja wa Mbande Rufu

Mbande Magengeni Vs Kisewe Queens uwanja wa Magengeni.

uku siku ya jumapili tarehe 14/01/2018

Mzambarauni Vs Saku A 
uwanja wa Mzambarauni

Dovya B Vs Dovya A
uwanja wa Dovya B

na Kwa Mkongo Vs Msufini uwanja Kwa Mkongo. 

Maoni