KISEWE QUEENS YANOGA UVCCM CHAMAZI REDE CUP 2018

Kikosi cha Kisewe Queens kimeanza vizuri mashindano ya Uvccm Chamazi Rede Cup 2018 kwa kutoa kipigo cha mabao 6-0 kwa wenyeji wao Mbande Magengeni.

Kisewe imepata ushindi huo jana ambapo ulikuwa ni mchezo wao wa kwanza wa mashindano ya Uvccm Rede Cup 2018.

Katika mchezo huo  Kisewe walicheza kwa kujiamini na  kutawala mchezo kwa vipindi vyote viwili.

Maoni