KWA MKONGO QUEENS TUMEJIPANGA KULETA USHINDANI

Ni siku chache zimebaki kwa kufunguliwa panzia la michuano ya UVCCM REDE CUP 2018.

Meneji wa team ya kwa mkongo, Said P amejinasibu na kusema kuwa team yake itafanya vizuri na kuleta ushindani mkubwa kwenye michuano iyo ya UVCCM REDE CUP 2018 licha ya kuwa wao ni wageni kwenye michuano iyo,  "tumejipanga kufanya vzuri na kuleta ushindi ingawa ni kwa mara ya kwanza kushiriki michuano hii ya UVCCM REDE CUP naimani na team yangu kufanya vizuri na kuleta upinzani mkubwa maana vijana tumewajenga kiakili na kimwili kwa mazoezi ambayo tulikuwa tunayafanya mara kwa mara" amesem Said P

Maoni