LIGI KUU YA WANAWAKE (WPL) YAPATA MDHAMINI

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF)  na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Leo Jumatano Januari 10,2018 wamesaini mkataba wa miaka mitatu wa kuidhamini Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) kupitia Bia ya Serengeti Lite  mkataba wenye thamani ya shilingi milioni 450.

Maoni