MAJINA YAWEKWA HADHARANI WASIMAMIZI WA MECH ZA UFUNGUZI UVCCM CHAMAZI REDE CUP 2018.

Kuelekea katika ufunguzi wa mashindano ya UVCCM Rede Cup 2018 UVCCM kata ya chamazi ikishirikana na idara yake ya IBUMA imeteua wafuato kuwa  wasimamizi wa mechi ya kundi A (round ya kwanza)

Katika mechi ya Mbande Vs. Kisewe (uwanja wa Mbande)
Tuemeteua wafuatao:-
© *Fahadi Haruna* kutoka *Dovya B* kuwa refa wa mchezo huo.
© *Hussein Kabuji* kutoka *Saku B* kuwa kamisaa wa mchezo

Katika Mchezo wa Rufu Vs. Kiponza(uwanja wa Rufu)
Tumeteua wafuatao:-
© *Husna* kutoka *Bamia* kuwa refa wa Mchezo.
© *Rocky*  kutoka *Mzambarauni* kuwa kamisaa wa mchezo huo.

Katika mchezo wa *Mfenesini* Vs. *Bamia* (uwanja wa Mfenesini)
Tumeteua wafuatao:-

© *ISSA MWALIKO* Kutoka *Dovya B* kuwa refa wa mchezo huo.

© *Shaban Rapwi* kutoka *kwa Mkongo* kuwa kamisaa wa mchezo huo.

*NB:-*
``` WALIOTAJWA MAJINA HAYO WANATAKIWA KURIPOTI KATIKA VIWANJA VILIVYOAINISHWA HAPO JUU KABLA YA SAA TISA NA NUSU```

*IMETOLEWA NA*
*NAJIM NYANZA*
*KATIBU HAMASA NA CHIPUKIZI*
*UVCCM-CHAMAZI*

Maoni