Mfahamu Pele kiundani zaidi.

Pele gwijiwa zamaniwasoka kutoka Brazil.
1. Pele alifunga jumlayamagoli 1,283. Magoli77 katiya hayo alifunga katikatimuyake yataifa.
2. Alishindakombela dunia mara tatu.
3. Pele alisajiliwaSantosakiwa na miaka15.Alifunga goli lakela kwanzakatikamechi yake ya kwanzadhidiya FCCorithians tarehe7 september 1956.
4. Akiwa namiaka 17, Pele alikuwa mchezajimdogo zaidi kushinda kombela dunia. Alifunga goli 2 katikafainalidhidiya mwenyeji Sweden.
5. Pele aliteuliwa kuwawaziri wa michezoBrazil mwaka1995mpaka 1998.
6. Mwaka1999 alipewatuzoya mwanamichezo bora wa karne na International Olympic Committe (IOC).
7. 19 november1969, Pele alifunga goli lakela 1000. Mamiaya mashabikiwaliingia uwanjaniili kumpongezaPele naikachukua zaidiya dakika 30 kuwaondoa mashabikiili mechiiendelee.
8. Katikaeneo la Santostarehe 19 Novemberya kila mwakani “Pelle day” ili kusherehekea anniversary yagoli lake la 1,000.
9. Pele anashika nafasiya5 katika list ya wafungaji bora kombela dunia. Kafunga jumla ya magoli12 katikahiyomishuano.
0. Mwaka2006 Pellealisema “Kwa miaka20 sasa mmekuwa mkiniuliza swalihilo ,nanizaidi?Pele au Maradona? nawajibuhivi, mnatakiwa kuangalia Facts- magoli mangapialifunga kwamguu wake wakuliaaukwakichwa?”
1. Mchambuzi wa sokamaarufu kutokauingeleza GeoffreyGreen alisema “Di Stefano alitengenezwa duniani,Pelealitengenezwa mbinguni.”
2. Pellealiwahikusema“Penati ninjia yauoga yakufungagoli”
3. Mwaka2010 Pele alisema “Maradona siomfano mzurikwa vijana. Alibarikiwa nakipaji cha kuchezampira,na ndio maanaana bahati” Maradona alijibu“Nani anajalialichosemaPele? anafaa kukaa katikamakumbusho”
4. Familiayake ilimpa jinala utani “Dico”. Hakupata jinala utaniPelle mpakaalipoanza shule, ambapo alikuwaanatamka jinala kipa wa vascodaGama kamaPilebadala yaBile.Huondioulikuwa mwanzo wakuanzakuitwa pelle.
5. Babayake Pele aliwahikufunga magolimatano yavichwandani ya mechimoja. Pellehakuwahi kuvunjahiyorekodi lakini aliwahi kufungamagolimanneyavichwa ndaniya mechi moja.
6. Mchazaji wazamani wa Manchester city Rodney Marshaliwahikusema “Kumfananisha GascoignenaPele nisawa nakumfananisha Rolf HarrisnaRembrandt”
7. Golila kwanzala Pele katikakombe la dunia alifunga dhidiya Wales mwaka1958.
8. Pele alifunga ndoa na mwanasaikolojiaAssiria Lemos Seixasmwaka1994
9. Pele katajwa katikawimbo wa rapper Prasunaoitwa“Ghetto Superstar”.
0. Mwaka2000 Pele alishikanafasi ya pili nyumayaMuhammad Alikatika tuzozaBBC zawanamichezo bora wakarne.
1. Timu ya kwanzaya kitaaya Pele ilikuwa inaitwa“wasio naviatu”.
2. Pele ndiomchezajipekee mwenye tuzotatu za kombela dunia.
3. November21,1964, Pelealifunga goli nanedhidiya Botafogo.Santos ilishinda11-0.
4. Pellealipiga hat-trick 92, alifunga goli nne mara 31, goli tano mara sita na goli nanemaramoja.
5. Golila 1000 la Pele alifunga kwa njiayapenati.
6. Akiwa Santos, Hat-trickyake ya kwanzaaliipatadhidi ya Lavras on June9,1957.
7. Pele hajawahi kupendajinalakela utanikwasababu limekaakitoto.
8. Pele alicheza mechi yake ya kwanzaakiwa New York Cosmos tarehe June 5,1975dhidiya DallasTornados. Mechi iliisha2-2.
9. Pele alifunga goli la 100 la Brazil katikakombela dunia kwakichwa.
0. Brazil haikuwahikupotezamechi yoyote wakiwa naPele na Garrincha katika kikosi.

Maoni