MHE DIWANI KATA CHAMAZI AZIDI KUKIIMARISHA CHAMA

Katika kuonyesha ni jinsi gani anakijali chama chake Mh Hemedi Karata amefanikiwa kupata mdau wa kujenga ofisi ya chama cha mapinduzi tawi la kisewe kwa kuivunja ofisi ya awali ambayo ilikua katika hali mbaya ki miundo mbinu

Aidha mdau huyo ameahidi kuijenga ofisi hiyo kama inavyoonekana pichani wakati ujenzi unaendelea kwa muda wa wiki mbili tu

Ikimbukwe tu kua Mhe Karata alijenga ofisi ya chama cha mapinduzi tawi la saku,akachangia upatikanaji wa ardhi ya kujengwa ofisi ya chama ccm tawi la mzambarauni na tawi la ccm dovya 'b'

Kila la heri tunakuombea Mhe Diwani Hemedi Karata udumu na sera zako za kukitumikia chama na Wanainchi kwa ujumla. 

Maoni