Msingwa na wenzake 12 wafikishwa Mahakamani.

Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa na wenzake 12 wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa kwa tuhuma za kuchoma nyumba ya Katibu wa UVCCM Mkoa wa Iringa na kubomoa nyumba ya aliyekuwa Diwani wa Kata ya Mwangata aliyehamia CCM, Angelus Lijuja.

Maoni