Rais Magufuli amepiga marufuku michango shule za Serikali za Msingi na Sekondari.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John P. Magufuli amekutana na Waziri wa OR TAMISEMI Mhe.Selemani S. Jafo na Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia na Ufundi Prof.Joyce L. Ndalichako Ikulu jijini Dar es Salaam leo Januari 17,2018.                                    Mhe. Rais amepiga marufuku aina yoyote ya michango katika shule za Serikali za Msingi na Sekondari na amewaagiza mawaziri hao kusimamia hilo.              Taarifa kamili   


Picha Ikulu 

Maoni