RATIBA VPL BARA MZUNGUKO WA 13

Ligi Kuu Ya Vodacom Tanzania Bara 2017/2018, mzunguko wa 13 kuendelea tena leo kwa mchezo moja kati ya

YANGA AFRICANS Vs MWADUI FC mchezo utakao pigwa kwenye Dimba la Uwanja wa Uhuru Saa 10:00 Jioni.

Hapo kesho pia kutaku na michezo miwili

MAJIMAJI Vs AZAM FC kwenye Dimba la Majimaji Saa 8:00 Mchana na uku SIMBA SC Vs SINGIDA UNITED Uwanja wa Taifa Saa 10:00 Jioni.

Maoni