TFF YATOLEA UFAFANUZI KAULI YA BONIFACE MKWASA.

Shirikisho la Mpira wa Mipira wa Miguu Tanzania TFF latolea ufafanuzi juu ya kauli ya Katibu Mkuu wa Yanga Boniface Mkwasa juu ya madai ya TFF kuipendelea klabu ya Simba kuutumia Uwanja wa Taifa kwenye mechi zao wanazocheza katikati ya wiki hii. 

SOMA ZAIDI HAPO CHINI

Maoni