Tina Aahidi kuibuka tena mchezaji bora msimu 2018

Mchezaji bora wa msimu ulio pita wa team ya KISEWE QUEENS,Salama Hamisi a.k.a Tina ameahidi kuibuka tena mchezaji bora wa michuano ya Uvccm Chamazi Rede Cup 2018 inayotarajia kuanza kutimua vumbi juma mossi hii Januzry 13 mwaka huu 2018.

Tina ni  moja ya wachezaji walio onesha kiwango kikubwa sana kwa msimu ulio pita kwenye michuano ya Uvccm Rede Cup na kuibuka kuwa mchezaji bora.

Akizungumza na hii January 11 na shabanirapwiblogsport.com Tina alisema alifurahi alipo tangazwa kuwa mchezaji bora
"Kwa kweli ile siku natangazwa kuwa mchezaji bora nilifurahi sana,natarajia Mwenyezi Mungu akinijalia nitafanya vizuri zaidi", alisema Tina.

Maoni