TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI KUBORESHWA. SOMA ZAIDI.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura akionesha tuzo atakayokuwa akipewa mchezaji bora wa kila mwezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara,awali mchezaji bora alikuwa anapata pesa peke yake kiasi cha shilingi milioni moja na kuanzia sasa mbali na pesa atakuwa akipata na tuzo iliyotambulishwa rasmi leo Jumatano Januari 10, 2018

Maoni