"ASANTE UVCCM KATA YA CHAMAZI" - SHABANI RAPWI

Jan 01, 2018 Uvccm kata ya chamazi ilifanya sherehe ya mapokezi ya mwaka mpya kwenye ukumbi wa Uvikiuta chamazi,na mgeni rasmi wa sherehe iyo alikuwa Mh diwani wa kata ya chamazi Hemed Juma Karata.

Kwenye sherehe iyo kulishudiwa vipaji mbalimbali ikiwepo kuimba,kucheza na kuingiza kutoka kwa vijana wa kata ya chamazi.

Pia kwenye sherehe iyo kulifanyika zoezi la utoaji vyeti vya heshima kwa viongozi,na wadau mbalimbali ambao walichangia kwa namna moja ama vingne kuiletea maendeleo jumuhiya iyo.

Na kati ya wadau hao Shabani Rapwi ni moja kati yao amepewa chet iko cha heshima kwa kufanya vzuri kuitangaza jumuhiya iyo na kuwa na maendeleo.

Akizunguza na shabanirapwiblogsport.com, rapwi amefurahi kupata chet iko na amesema ni moja kumtia moyo na kumpa molali wa kuitangaza jumuhiya iyo.

Nukuu
"shukrani sana wanauvccm kata ya chamazi chini ya mwenyekiti  ndugu Nasri Bakali Mkalipa kwa kutambua na kudhamini mchango wa blog yangu kwenye habari na matukio ya kata ya chamazi,nikiwa ni msimamizi mkuu wa blog hii ya shabanirapwiblogsport.com nasema ASANTE kwa kutambua mchango wa blog yangu nawaahidi nitazidi kushirikiano nayi bega kwa bega ili kuleta maendeleo kwa namna moja ama nyingne kwenye kata ya chamazi,CHET iki ni heshima kubwa sana kwangu na ni moja ya kunitia moyo na molali ya kufanya kazi yangu kwa umakini na bidi zaidi,mpaka leo hii natunukiwa CHET iki cha heshima sio kwa sababu mimi ni bora zaidi hapa wapo walio bora zaidi yangu,pia heshima hii sio yangu tu peke yangu hapana ni ya wanauvccm na wanachamazi kwa ujumla,sababu ya uwepo na ushirikiano wenu wanauvccm kata ya chamazi ndio imekuwa chachu kubwa ya mafanikio ya blog yangu kwa mwaka 2017/2018" amesema rapwi

Rapwi amemalizia kwa kuwaomba wanauvccm kuwa kitu kimoja na kuwa na ushirikiano kwenye kuleta maendeleo kata  ya chamazi.

Maoni