UVCCM KATA YA CHAMAZI KUTEMBELEA KAMATI YA UTEKELEZAJI ZA MATAWI YOTE 13 YA KATA YA CHAMAZI

Kamati ya utekelezaji ya UVCCM Kata ya Chamazi wiki hii itaanza rasmi ziara yake ya kutembelea  matawi yote 13 yaliyo Kata
chamazi.

Agenda kuu ya ziara hiyo itakuwa ni kutoa shukrani kwa matawi kwa ushirikiano mkubwa na mzuri baina ya matawi na kata, kukagua uhai wa jumuiya pamoja na kukagua vishina vya vijana na kusisitiza nidhamu ambayo  ndio msingi mkubwa wa Chama cha Mapinduzi na Jumiya yetu.

Ratiba ya ziara hiyo itakuwa kama ifuatavyo:-

Jumanne 16/1/2018
Msufini - 5:00 Asbuhi
Kwa Mkongo --7:00 mchana

Jumatano 17/1/2018
Dovya B -5:00 Asubuhi
Dovya A saa 7:00 mchana

Alhamisi 18/1/2018
Bamia - saa 5:00 asbh
Mfenesini - 7:00 mchana

Ijumaa19/1/2018
Rufu -saa 5:00 asubuhi
Kiponza--saa 7:00 mchana

Jumatatu 22/1/2018
Mbande --saa 5:00 asubuhi
Kisewe -saa 7:00 mchana

Jumanne 23/1/2018
Mzambarauni -saa 5:00 asbh
Saku A saa 7 mchana
Saku B saa 9 Alasiri

NB:-
`Viongozi wote wa UVCCM matawi mnaombwa wote muwepo bila kukosa.``

Kauli yetu... ni kujenga  ujamaa na kujitegemea.

#HatubebiMabegi
#TukutaneKazini

IMETOLEWA NA:-
JUMA BEGA ZONZO
KATIBU UVCCM KATA YA CHAMAZI

Maoni