Aguero apiga 4 City ikiiua Leicer City mabao 5-1

Mshambuliaji Sergio Aguero baada ya kufunga mabao manne dakika za 48, 53, 77 na 90 katika ushindi wa 5-1 wa Manchester City dhidi ya Leicester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Bao la kwanza la Man City limefungwa na Raheem Sterling dakika ya tatu, wakati la Leicester City limefungwa Jamie Vardy dakika ya 24.

Maoni