Aliye mpiga kiwiko Okwi akutana na rungu la TFF.

Mchezaji wa Ruvu Shooting, Mau Bofu amefungiwa mechi tatu na kupigwa faini ya shilingi laki tano kwa kumpiga kiwiko Emmanuel Okwi wa Simba katika mechi kati ya timu hizo iliyofanyika Februari 4, 2018 kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Maoni