DIWANI CHADEMA AJIUZURU WILAYA YA SONGWE

Diwani wa kata ya Mpona Ndug Michael Siwingwa amejiuzuru nafasi ya udiwani na kujiunga na Chama cha mapinduzi leo katika Mkutano wake na waandishi wa habari ameeleza kuwa ameridhishwa na utendaji kazi wa mwenyekiti wa CCM TAIFA Ndug Dr John Pombe Joseph Magufuli ambaye anafanya kazi kwa weredi na Ubora mkubwa. 

Ndug Michael Siwingwa amehama rasmi leo kuwa Mwanachama wa CHADEMA na kujiuzuru nafasi zote ndani ya Chadema na kujiunga CCM. 

Maoni