FAIDAZA MCHAICHAI KWA AFYAYAKO

UJUE MCHAICHAI

Ni wengi wanaoutumiana kuufahamumchaichai kama kiungo chachakula jikonina wenginehutumiakamadawa ya mbu. Lakini, je unafahamukuwa majani hayayana faida kubwa kiafya .Mafutaya mchachai hutumika katika viwanda vinavyotengeneza pafyumu na sabuni.
Tafiti kadhaazinaonyesha kuwa mchaichai una vichocheo muhimu vinavyoweza kupambana naatharikadhawa kadha tumboni, kwenye mkojo nahatakwenye vidonda.Watu wenginehuamini kuwa mchaichai unawezakutibu baadhi yamaradhi kamavile homa ya matumbo, matatizo ya ngozi, madhara yanayotokana naulaji wa chakula chenye uchafunapia hutibumaradhi ya kichwa nahatamisuli. Mchaichai pia unatajwa kuwa kinywaji kinachoweza kupunguzajoto.Chai ya mchaichai inasaidiakupunguza joto kwamgonjwa wa homa. Faida nyingine zamchaichai kiafya nipamoja na:

KINGA DHIDI YA SARATA

 NI Tafiti mbalimbali zimeonyesha kuwa kwenyekila gram100ya mchaichai, kuna viondosha sumu ambavyo vina uwezo wa kuukinda mwili dhidiya ugonjwa wa saratani. Mwaka 2006, timuya watafiti kutoka Chuo kikuu chaGurion, Israel waligundua mchaichai una uwezo wakuua selizinaweza kusababisha saratani.

MMENG'ENYO WA CHAKULA 

Husaidia umeng’enyaji wa chakula Chai ya mchaichaihurahisisha utaratibu wa mmeng’enyo wa chakula na pia hutibu magonjwa yakuharana maumivu ya tumboikiwamo kujaa gesi. Hurahisisha utaratibu wa kuondoa uchafumwilini Katika matibabu, unatibu magonjwa mengi ikiwemo kushusha joto,hasakwa wagonjwawanaosumbuliwa na malaria kali.

KUSAFISHAFIGO NA MKOJO

 Mchaichai pia una kaziya kusafishafigo ambayo kazi yake kubwa ni kusafishadamu mwilini, kuondoamafuta mabayamwiliniambayo mengi yanatengenezwa nakemikali kiwandani nahivyomwili kushindwa kuziondoa na baadaye kusasababisha magonjwa mbalimbali ikiwemo saratani.
Figo inapokuwa safinaimara, hata kazinyinginekama kusafishamkojo zinafanyika kirahisi kwanimkojo unapozidi kuwa mchafumtu hujikuta akivimba mwili nawakati mwingine kufikiahatahatua ya kupoteza maisha.

MAUMIVU WAKATI WA HEDHI 

Mchaichai pia huwasaidia kina mama ambaowanaumwa na tumbo kipindi chahedhi, ambao wengi waohuchukulia kama chango. “Unapokunywa mchaichai, unawezesha kusafishamirija ya uzazi nahivyo kuwezesha damu kupita kwa urahisi,”

MAJIPUNA MCHAFUKO WA DAMU 

vilevilemchaichai una kazi ya kusafishadamu, hasa kwawatuambao wamekuwa na tabiaya kupata magonjwa ya ngozi kamamapelenakutoka majipu

KUZUIA KUHARISHA

 Mchaichai pia unaelezwakuwa ni dawa ya kuzuiakuharisha ambapo una uwezo wa kupambana namdudu aina ya protozoa anayesababisha ugonjwa huo.

MAMA WAJAWAZITO. 

Endapo mjamzito atatumia majani yammea huukwamuda mrefu, atawezakujiepusha kujifungua kwa njiaya upasuaji kwani husaidia katikakulegeza nyonga ambazohubanakatika kipindi chaujauzito nakufanya njiakuwa ndogo kuwezesha mtoto kupita,

WENYEVIDONDA VYA TUMBO

 Hata hivyokwawagonjwa wanaosumbuliwa hasana vidonda vya tumbo, mchaichai husaidia kuondoa gesiambazohuwapata mara kwamara.

HUONGEZA CD4

 Kwa wagonjwawaukimwi, mchaichai unaelezwakuwa huongeza CD4nainashauriwa kuwa nivyema mgonjwa wa aina hiyoakapendelea kutumia zaidi mchaichaikuliko majani ya chai.

Maoni