HATUBEBI MABEGI TUNABEBA DOLA HII NDO CCM MPYA.

Na Veronica Moses
(Tanzania Girl)

Kwanza kabisa naanza kwa kutoa shukurani zangu za thati kutoka moyoni na kuipongeza  Serikali ya awam ya tano chiniya Mhe JONH POMBE MAGUFURI  kwa  uongozi bora. 


Tunayo misemo mingi tuliyoletewa na viongozi wetu wakuu ambayo imekuwa ni chachu ya Maendelo,
Mhe JONH POMBE MAGUFURI kwa uongozi bora ametupatia msemo usemao HAPA KAZI TU.
Huu ni msemo  ambao umekuwa ni chachu ya Maendelo ya Tanzania moja ya vitu ni.

#ELIMU BURE msemo huu umeleta changamoto kubwa mashuleni ambapo walimu waliacha kwenda  kazini kwa mazoea Bali walienda kwakuona kuwa Hapa kazi tu.

#MAFISADI walitimka kutoka kwenye chama na uongozi waliokuwa nao sababu walizoea kuingiza pesa za wizi bila kushughulika ili kuingiza pesa na ndo hao wanao lia HALI NGUMU wenye akili walipotambua hilu waliamua kujishughulisha sasa Maendelo yapo hata aliyekuwa hafanyi kazi Leo anafanya kazi na kapata mabadiliko makubwa sana.

#WALA UNGA kwa msema wa Hapa kazi tumeona wamebadilika kutoka katika ulaji Wa unga na kuunga. Juhudi za Rais wetu Dr JONH POMBE MAGUFURI  kuwa kumbe kwa kufanya kazi kuna Maendelo makubwa.

Ongera Rais Wangu Kipenzi   na Kipenzi cha watu  Hii TANZANIA  mpya.

#TUKUTANE KAZINI  huu ni msemo uliyoletwa na Ndugu KHERI JAMES  Mwenyekiti Wa Uvccm Taifa  ni msemo ulioleta Maendelo makubwa sana kwa Vijana Wa Chama cha Mapinduzi  vijana  wengi sasa tunamaendeleo ya kutosha kuwa baada ya Hapa kazi tu tunapata Tukutane Kazini.

Ndipo tunapata chachu  ya Maendelo kwa vijana Wa Kitanzani hakuna umoja wala Maendelo bila kukutana kazini ili kubadilishana mawazo ndo maana kuna Mkuu na msaidizi.

Ongera Kheri James sisi ni vijana wapya chini ya uongozi Wa KHERI JAMES TANZANIA Mpya.

#KIJANA JEURI huu ni miongoni mwa misemo yenye chachu ya maendeleo Uliyoletwa na Kaimu Hama Mhe JOKETI MWENGELO  msemo huu unaleta Hamasa katika akili zetu kuwa Wabunifu Wa vitu mbalimbali  kwa manufaa ya nchi yetu ya Tanzania kijana jeuri ni kijana anaejituma anaejitambua anaefanya kazi kwa bidii akiongonzwa na chama cha mapinduzi jeuri ya Maendelo kujiamini kuthubu  kuelewa.

Ongeara Kaimu chipukizi na Hamasa Joketi mwengelo TANZANIA mpya.

#HATUBEBI MABEGI      TUNABEBA DOLA Huu ni msemo ambao tumebuni  Tukiongonzwa na NASRI MKALIPA na VERONICA MOSE Kuwa vijana Wa chama cha mapinduzi hatupo tayari kubeba mabegi Bali tupo tayarali kwa kubeba DOLA na mwendelezo Wa milele kwamba hapana kuachia DOLA jeuri iliyopo ni kubeba DOLA chini ya uongozi uliyopo  hivyo Tunaahidi kutokuachia DOLA maana kijana ndiyo Taifa la Leo na Kesho ni Nguvu kazi katika jamiiii Vijana Wa Tanzania chini ya Uongozi Wa chama cha mapinduzi HATUBEBI mabegi Bali DOLA na siyo mabegi TANZANIA.

#Hapa kazi tu
# Tukutane kazini
#Kijana jeuri
# Hatubebi Mabegi
       Tunabeba DOLA.

#Mungu ibariki Tanzania
#Mungu bariki Chama cha mapinduzi
#Mungu bariki umoja Wa vijana Wa Ccm 
# Sisi ni TanzaniaMpya.

Maoni