KAMANDA WA POLISI AMETHIBITISHA KUTOKEA KWA TUKIO LA KUSHAMBULIWA NA KUUWAWA DIWANI WA CHADEMA.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro SACP Ulrich Matei amethibisha kutokea kwa tukio la kushambuliwa na kuuwawa kwa Diwani wa kata ya Namwawala Godfrey Luena kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Kamanda Matei ameiambia Radio SAUT Fm Stereo kuwa jeshi la Polisi mkoani humo limeanza uchunguzi; hili kuwabaini wale walio usika katika tukio hilo.

Maoni