KATIBU KATA YA MIBURANI AFURAHIYA KUPATA NAKALA YA HATUBEBI MABEGI

Katibu wa Chama cha Mapinduzi kata ya Miburani Ndg Amiri Matimbwa akifurahi baada ya kupata nakala ya kitabu cha Hatubebi Mabegi kilichotungwa na M/kiti wa Uvccm kata ya chamazi Ndg Nasri  Mkalipa


katibu wa Uvccm  Kata  ya Miburani  Ndg Swaumu Cholla. 

Huku akiwa sambamba na katibu wa uvccm kata ya Miburani  Ndg Swaumu Cholla sambamba na M/kiti mstaafu wa Uvccm kata miburani Ndg.Ally kiaka

Nawe unaweza pata nakala yako popote ulipo wasiliana nasi kwa
0620881532 au
0689232546 

Maoni