KITABU CHA HATUBEBI MABEGI KUZINDULIWA JUMAPILI.

Mwenyekiti wa UVCCM kata ya chamazi Ndg. Nasri Mkalipa ametangaza uzinduzi wa Kitabu cha HATUBEBI MABEGI TUKUTANE KAZI kufanyika hapo Jumapili Februery 18,2018.

Na mgeni rasmi kwenye uzinduzi uwo anatarajiwa kuwa Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa Ndg. Gwantewa Alex Mwakijungu.

Uzinduzi uwo unao tarajia kufanyika kwenye Ofisi za Chama cha Mapinduzi kata ya Chamazi saa tano asubuh (5:00)

Pia Mkalipa amewataka wanaccm kujitokeza kwa wingi kwani siku iyo vitabu hivyo vitakuwa na punguzo la bei. 


Maoni