MSUFINI YAENDELEZA UBABE KWA USHINDI WA BAO 1-0.

Msufini leo imeendeleza ubabe wake kwa kuifunga team ya Mzambarauni bao 1-0.

Mchezo ulikuwa wa ushindani kwa pande zote mbili,nidhamu ya mchezo ilitawala kwa pande zote 

Ushindi huo unaifanya Msufini kuwa kinara wa Kundi B akiwa na pout 12 na mabao  11.

Baada ya kumalizika kwa mchezo huo RapwiNews imemtafuta meneja wa team hiyo ya Mzambarauni na kufunguka haya

"Kwa kweli nawapongeza vijana wangu kwa kuonyesha mchezo mzuri na tumekubali matokeo pia tunawapongeza msufini kwa ushindi" amesema Muhunzi A Muhunzi Meneja wa Mzambarauni

Kwa upande wa kocha nae wa mzambaruni amesema "Makosa nimeyaona na nitayafanyia kazi kwa mchezo wetu ujao nitayarekebisha na nakikisha napata matokeo mazuri zaidi" amesema Kocha.

Na kwa upande wake kocha wa Msufini,Bofu amefunguka na kusema msing mkubwa wa ushindi ni mazoezi 

"Msingi wa ushindi ni mazoezi,najipanga kwa mtindo mpya wa ushambuliaji" amesema Bofu.  

Maoni