Nyanza awataka vijana kuwa wasikivu na kujifunza.

Katibu Hamasa na Chipukizi kata ya chamazi, Ndg Najim Nyanza amewataka vijana kuwa wasikivu na kujifunza ili wawe vijana bora na wenye ubunifu,maarifa na utendaji uliotukuka.

Nyanza ameyandika hayo leo Fab 11,2018  kupitia kwenye ukurasa wake wa facebook.

"Usikivu na kujifunza ni jambo linalokufanya kuwa kijana bora na kukuongezea ubunifu,maarifa na utendaji uliotukuka kama Wewe sio msikivu na unajifanya unajua kila jambo utabaki kuwa mbeba mabegi na baadae kuwa mzee wa ovyoovyo!!!!!. UVCCM chamazi ni wasikivu.

#HatubebiMabegi
#TukutaneKazini" aliandika ivyo Najim Nyanza Katibu Hamasa na Chipukizi kata ya chamazi. 

Maoni