TAARIFA KWA WANAUVCCM WILAYA YA UBUNGO

Habari za mchana......

Muda mrefu mmekuwa mkiulizia KADI na KANUNI ila zilikuwa hazipo zimeisha. 

Napenda sasa kutumia nafasi hii kuwataarifu kuwa sasa ZIPO , kanuni ni 2000/= na Kadi ni 300/=.

Tafadhali, fateni utaratibu unaotakiwa,jiandikishe kwa katibu tawi lako kisha yeye atapeleka kwa katibu kata na makatibu kata ndio wenye jukumu la kufata kadi wilayani.

Epuka kuwa mwanachama hewa,nunua kadi yako, lipia kadi yako.

Imetolewa na: 
LEAH D. MBEKE
KATIBU UVCCM (W) UBUNGO
DAR ES SALAAM
23/02/2018

Maoni