
Rais magufuli amekuwa akitekeleza ilani ya ccm kwa vitendo na hadi kukubalika sera za ccm kwa wapinzani wana ccm tume kua tukishuhudia upokeaji wa wana chama wano uhama upinzani na kuhamia katika chama makini chama cha mapinduz.
Imani yetu kubwa kua hadi itakapo fika 2020 katika tanzania upinzani utabakia hadithi tu.
Hivyo tunaendelea kuunga mkono kazi kubwa inayo fanywa na Viongozi wa ccm sambamba na kuhakikisha kua nnchi inaendelea kuwa na Amani na utulivu.
IMETOLEWA NA RISHEDI OMAR KHALFANI K/KATIBU UVCCM WILAYA YA MJINI UNGUJA
Maoni
Chapisha Maoni