WASOMAJI WA KITABU CHA HATUBEBI MABEGI WAZIDI KUONGEZA, SALMA UPAA AKISIFIA

be wa Mkutano Mkuu CCM Taifa ambaye pia ni mjumbe wa baraza UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam Ndg. SALMA UPAA amenunua kitabu cha HATUBEBI MABEGI.

Wakati akikisoma kitabu hicho Ndg. UPAA alisema amefurahishwa na ujumbe mzuri uliopo ndani ya kitabu hicho na kuwataka vijana wengine  kununua na kukisoma kwa makini kwani kitawakomboa kifikra.

Pia baada ya kusoma kitabu hicho Ndg. UPAA alisema HABEBI MABEGI.

Pata nakala yako ya kitabu cha HATUBEBI MABEGI kwa bei nafuu kabisa ya Shillingi 2000.

Piga namba 0713 311 300 au 0620 881 532.

Maoni