AHMED ALBAITY ATUA CHINA

 Hatimae Kijana Ahmed Albaity amewasili Nchini China tayari kuanza Matibabu yake. 

 Akizungumza kutoka China , Ahmed amewashukuru watanzania wote Waliojitoa kifedha ,Kimaombi na Sala pamoja na waliojumuika nae kumuga Nchini Tanzania . 


Amemshukuru pia Mhe Rais, Dkt. John Pombe Magufuli kwa kumpa Fursa Mhe Paul Makonda ya kuendelea kuwatumikia wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam. 

Sisi tutaendelea kuwafahamisha hatua kwa hatua kuhusu matibabu ya Ahmed Albaity nchini Chin.


 Upendo Mshikamano TanzaniaYetu

Maoni