BREAKING NEWS

Mabweni 2 ya Shule ya Sekondari Korogwe yameteketea kwa moto usiku huu Shule ya Sekondari ya Wasichana Korogwe.

 Moto huo ulioanza saa 3 usiku wa leo chanzo chake hakijajulikana, na wanafunzi wote walikuwa prepo, hivyo walioletwa Hospitali ya Wilaya, Magunga, walipata mshtuko, lakini karibu wote zaidi ya 15 wanaendelea vizuri.

 Chanzo hakijajulikana bado
Wanafunzi waliolazwa hospitali ya Korogwe Tanga kwa mshtuko baada ya shule yao kuteketea kwa moto.

Maoni