BWENI LINGINE LATEKETEA KWA MOTO USIKU WA KUAMKIA LEO.

Bweni la wavulana Katika Shule ya Sekondari Chief Kidulile Ludewa limeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo wakati wanafunzi wakiwa Darasani wakiendelea na Masomo ya Usiku.

Bado haijafahamika chanzo cha moto huo,ambao haujasababisha kifo wala kujeruhi mwanafunzi.

Maoni