CCM KATA YA KAGUNGULI -UKEREWE WAKUTANA WOTE BAADA YA UCHUGUZI MKUU WA CHAMA

CCM kata ya Kagunguli Wilaya ya Ukerewe walikutana Jana tarehe 17/03/2018  kwa Pamoja Baada ya kukamilika kwa Uchaguzi Mkuu wa CCM mwaka 2017 Mwenyekiti wa Kikao  Alifungua Kikao Hicho  Kwa Kuwashukuru wanachama Kwa Kufika kwa Wingi na Kuwaeleza Dhima Ya Kikao Kile Ilikuwa Ni Kujisahihisha 

Diwani wa kata Hiyo Ndg.George Machera Nyamaha ambaye Pia Ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya  alipata fulsa ya Kuzungumuza aliomba Wanachama waachane na Dhana Ya Makundi Kwani sasa Chama Kimebadirika Kimuundo na Kimfumo alisema Sasa Chama Kimeshuka chini kwa Wananchi Ndiyo Maaana unaona Hadi Kwenye Matawi  Mmeambiwa Mfungue Account Ili Muwe mnapata Gawiwo lenu. Alisema. 
 
 
Sambamba na Hayo Pia aliwataka wachama Wajipange kwa Uchaguzi ujao wa. Serikali za Mitaa Dhamira yake Kuu Ni Kuona Vijiji na Vitongoji vyote vikiongozwa Na CCM Na si Vinginevyo  (Raha ya Kuwa na Viongozi wanatokana na CCM Hata Mkishindana kwenye Vikao vya Kiserikali mnakaa kwenye Chama Mnayamaliza mnakuja mmekuwa wamoja) alisema Nyamaha  

Pamoja Na Mambo Mengine alitumia Fulsa Hiyo Kugawa Vitabu vya  Wageni kwenye Matawi yote ya CCM na Jumuiya zake Katika Kata Hiyo.  

Katika kikao hicho kilichoshirikisha watendaji wa Serikali viongozi walipata fulsa ya kujadiri mapungufu ya yao na kufanya tathimini ya mwenendo wa uongozi wa kata na Vijiji pia kusoana na kuhakikisha Chama na Serikali wanaungana  katika kutekeleza Ilani ya CCM.(yaweke vizuri)

Maoni