CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) KATA YA NYIHONGO WIYALA YA KAHAMA KIMEPOKEA WANACHAMA WAPYA ZAIDI YA 20 KUTOKA VYAMA MBALIMBALI

BREAKING NEWS

CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) KATA YA NYIHONGO WIYA YA KAHAMA LEO TRH 24/03/2018 KIMEPOKEA WANACHAMA 20 KUTOKA VYAMA MBALIMBALI

Kata hiyo leo imepokea wanachama katika mkutano mkuu wa kata hiyo imepokea wanachama zaidi ya 20 Akiwemo Katibu Mwenezi wilaya kupitia chama cha (NCCR) Ndg Reonard Mboje Njiritu ambae amelejea akiwa na wanachama 4 wa chama hicho. 

Mgeni lasimi katika kikao hicho Alikuwa Mwenezi wa Kata ya Nyasubi Ndg MOLA ZABRON

Pia chama cha mapinduzi kata ya NYIHONGO kimempokea Katibu wa chama cha CHADEMA Kata ya NYIHONGO Ndg JOSEPH NYERERE MUTA  kwakuamua kulejea CCM na kuunga mkono kazi za Mh RAIS kwa kazi anazo zifanya. 

Pia Mwenezi wa Kata ya Nyasubi Ndg Mola Zabron amewataka kuwa wanachama waminifu kwakukipigania chama kushika Dora katika serikali za mitaa 2019  Kwa kishindo maana chama chetu nichama kinachojibu kelo za Watanzania haswa wasio jiweza. 

Imetolewa na Katibu Mwenezi Kata ya Nyasubi kahama
     Mola Zabron

Maoni