DIAMOND PLATNUMZ APOKEA TUZO MAALUM KUTOKA TIMES FM RADIO.

Msanii wa kizazi kipya Nasibu Abduli maarufu Diamond Platnumz amekua Msanii wa Kwanza wa Kiume Tanzania kupokea tuzo maalum (Plaque) kutoka TIMES FM RADIO kupitia kipindi cha The Playlist kama NyotaWaMchezo BongoFleva akitajwa kama BestInternationalAct (Msanii Bora wa Kimataifa)
BestMaleAct (Msanii Bora wa Kiume)
MostInfluencialAct (Msanii Mwenye Ushawishi Mkubwa) RecordBreakingA
ct (Msanii anayevunja Rekodi) kufatia kutoka kwa album yake mpya ya
ABoyFromTandale na Diamond amepokea tuzo hiyo baada ya vanessamdee kuwa Msanii wa Kwanza wa Kike Tanzania kufanya hivo mwezi January tarehe 22 alipotoa album yake ya MoneyMondays.

Diamond amepokea tuzo hiyo na kukabidhiwa na Mtangazaji wa Kipindi hicho Lil Ommy  baada ya kumaliza mahojiano (interview) na uchambuzi wa album yake mpya ya A Boy From Tandale.  ThePlaylist (Plaque)  NyotaWaMchezo WCB UMG AboyfromTandale. 

Maoni