DIWANI WA CHADEMA AKUTANA NA MRISHO GAMBO WAZUNGUMZA MENGI

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amekutana na kuzungumza na diwani wa kata ya Ngarenaro Mheshimiwa Doita
jimbo la Arusha mjini linaloongozwa na mbunge wa CHADEMA Godbless Lema.
Japo hakutaja walichokizungumza mkuu wa mkoa Gambo kwenye ukurasa wake aliandika 'Leo nimekutana na diwani wa Chadema kata ya Ngarenaro Mhe Doita tumezungumza mengi!

Mrisho Gambo alimalizia hivyo na kuweka alama ya mshangao,lakini wengi walioweka Comment wakihoji kuwa anahamia lini??

Mpaka sasa Madiwani wa Chadema mkoa wa Arusha zaidi ya watano wamehamia Ccm. Harry wa Chade

Maoni