Julai Mwaka huu Tanzania kupokea Ndege Mpya

Msemaji Mkuu wa Serikali amesema kuwa Julai mwaka huu nchi yetu itapokea ndege kadhaa mpya ikiwemo Boeing Dreamliner hivyo ukarabati wa viwanja vya ndege vya Kitaifa/Kimataifa na Kimkoa unaendelea kwa kasi nchini.

Maoni