KAMATI YA UTEKELEZAJI UWT MKOA WA DAR ES SALAAM, YAANZA ZIARA YA VIKAO VYA KIKAZI KATIKA WILAYA ZOTE, LEO


 Mwenyekii wa UWT mkoa wa Dar es Salaam, Dorothy Kilave akisisitiza jambo alipozungumza na Viongozi wa Jumuiya Wiyo wa Wilaya na Kata ya Ubungo katika kikao cha kazi kilichofanyika katika Wilaya hiyo leo. Wengine kushoto ni Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Ubungo Pili Mustafa na kutoka kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UWT mkoa wa Dar es Salaam Eizabeth Lameck, Madiiwani wa Viti maalum Rehema Mayunga na Florence Masunga na Katibu wa UWT mkoa wa Dar es salaam Tatu Malyaga.

Mwenyekii wa UWT mkoa wa Dar es Salaam, Dorothy Kilave akisisitiza jambo kwenye kikao hicho

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ubungo Lucas Mgonja akimkaribisha Mwenyekii wa UWT mkoa wa Dar es Salaam, Dorothy Kilave alipowasili

Mwenyekii wa UWT mkoa wa Dar es Salaam, Dorothy Kilave akiingia ukumbini

Mwenyekii wa UWT mkoa wa Dar es Salaam, Dorothy Kilave (kushoto), Tatu Malyaga (kulia) na Elizabeth Lameck wakiwa Ofisini ya CCM Kimara kabla ya kiungia kwenye kikao hicho

Mwenyekii wa UWT mkoa wa Dar es Salaam, Dorothy Kilave akiwa tayari ukumbini kuendesha kikao hicho

Kina mama wa UWT Ubungo wakishangilia

Mwenyekii wa UWT mkoa wa Dar es Salaam, Dorothy Kilave akisalimia wajumbe

Diwani wa Viti maalum Rehema Mayunga akisalimia

Mjumbe wa kamati ya Utekelezaji UWT mkoa wa dar es Salaam Hawa Ng'humbi akisalimia

Katibu wa UWT Wilaya ya Ubungo Pili Mustafa akisalimia

Katibu wa UWT mkoa wa Dar es Salaam Tatu malyaga akizungumza wakati akimkaribisha kuzungumzaMwenyekii wa UWT mkoa wa Dar es Salaam, Dorothy Kilave.

Mwenyekii wa UWT mkoa wa Dar es Salaam, Dorothy Kilave akisisitiza jambo wakati akiwafunda katika mkutano wa kazi viongozi wa UWT Wilaya ya Ubungo na Kata zake katika kikao hicho.

 PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

Maoni