Lori la Mafuta Lawaka Moto na Kuua Wawili Singida.

Taarifa kutoka mkoani Singida muda huu ni kwamba lori la mafuta limeanguka na kuwaka moto katika eneo la Mlima Sekenke na watu wawili wanaripotiwa kupoteza maisha.

 Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida Deborah Magiligimba  amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kueleza kuwa ni kweli kuna watu wawili wamefariki, lakini bado hawajapata majina yao.

Maoni