MHE MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA RUKWA NGUGU BUPE NELSON MWAKANGATA AUNGURUMA WILAYANI NKASI AMWANGA NEEMA YA CEMENT MIFUKO 100 KWA SHULE TANO ZA NAMANYERE MJINI

Hapo Siku Ya Jana 09/03/2018 Mhe Mbunge Wa Viti Maalum Mkoa Wa Rukwa Ndugu Bupe Nelson Mwakangata Amefanya Ziara Yake Ya Kiserikali Ktk Wilaya Ya Nkasi Ambapo Ktk Ziara Hiyo Aliambatana Na Mwenyekiti Wa UWT Mkoa Wa Rukwa Ndugu Mary Kalula Pamoja Na Mwenyekiti Wa Vijana Wa Mkoa Huo Wa Rukwa Ndugu Ramadhani Shabani

Katika Ziara Hiyo Ya Kiserikali Mhe Mbunge Wa Viti Maalum Mkoa Wa Rukwa Ndugu Bupe Mwakangata Alitumia Fursa Hiyo Kutoa Mifuko 100 Saruji Kwa Shule Tano Za Namanyere Mjini Ambapo Ameagiza Mifuko Hiyo Ya Saruji Itumike Vyema Kabisa Ktk Kusaidia Kufanya Ukarabati Wa Vyumba Vya Madarasa Ya Shule Hizo Ikiwa Ni Katika Uungaji Mkono Wa Kauli Mbiu Ya Serikali Ya Awamu Ya Tano Ya Dkt John Pombe Magufuli Ktk Swala Zima La Elimu Bure.

Lakini Kama Haitoshi Mhe Mbunge Huyo Alitumia Fursa Hiyo Kuzungumza Na Wakazi Wa Namanyere Huku Akiwaambia Kwamba Kama Mzazi Anawapenda Sana Vijana Na Angetamani Wasome Ktk Mazingira Mazuri Na Bora Zaidi.Lakini Pia Alisema Kwamba Anatamani Sana Zaidi Kuona Wakina Mama Wakifanya Kazi Kwa Bidii Na Kuhakikisha Wanajikwamua Kimaisha Na Huku Akiwaahidi Kwamba Daima Yeye Ni Mtetezi Wao Na Kama Haitoshi Akaiomba Halmashauri Ya Mji Wa Namanyere Kuhakikisha Kwamba Zinatenga Fedha Ktk Zile Asilimia Tano Kwa Ajili Ya Mikopo Ya Wanawake.


Baada Ya Shughuli Hiyo Kuisha Mhe Mbunge Huyo Pia Alipata Wasaha Wa Kukaa Na Kina Mama Wa UWT Ktk Wilaya Hiyo Ambapo Lengo Kukula Kukaa Nao Ilikuwa Ni Kusikiliza Kero Zao Na Haswa Ktk Kuboresha Uwakilishi Wa Wakina Mama Bungeni Na Haswa Ukizingatia Ilikuwa Ni Katika Kumalizia Kusherehekea Sikukuu Ya Mwanamke Duniani.

Utumishi Wa Watu Daima Utengeneza Mahusiano Mazuri Baina Ya Kiongozi Na Wananchi Wake!Enyi Waheshimiwa Wabunge Wa CCM Tunawaomba Mjitahidi Kushuka Chini Na Kwenda Kushughulika Na Kero Za Wananchi Wetu Kama Miongozo Na Maagizo Ya Viongozi Wetu Wa Chama Wanavyotuagiza Tufanye

Maoni