Mvua ilio nyesha hapo jana yaleta uharibifu mkubwa Chamazi.

Mvua kubwa iliyo nyesha hapo jana jijini Dar es salaam imeleta maafa makubwa kwa wananch wa Dovya shimo la mchanga la zamani kata ya Chamazi Jijini Dar es salaam.

Na hizi ni baadhi ya picha za sehemu zilizo pata uharibifu mkubwa 

Maoni